jamii forums

Nakushukuru kwa kuona hili linafaa, Naahidi kuendelea kusaidia na kutoa ushauri wa bure, bila hata karo ya senti moja, hasa kwa wale watakao ona inafaa. Wapo wanao ona ni upuuzi, na hao hao ndio kila siku wanajuta na ndoa zao. Ndoa ni uvumilivu, na sio amani na raha kama wengi wanavyodhani. Walio nje ya ndoa wanatamani kuingia, wakati walio ndani ya ndoa wanatamani kutoka. Mtangulize Mungu katika kuchagua mwenzi, ili baada ya kuingia, majuto yasiwe makubwa sana. bwana akubariki!!!!
 

Shukrani sana usiache kuni-tag katika post zako za namna hii!
Be blessed!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…