Jamii imeamua kumshambulia Dkt. Nawanda ikasahau kukemea tabia za kihuni za mabinti aina ya huyu anayedai kuingiliwa kinyume na maumbile

Jamii imeamua kumshambulia Dkt. Nawanda ikasahau kukemea tabia za kihuni za mabinti aina ya huyu anayedai kuingiliwa kinyume na maumbile

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Kiukweli inashangaza kuona jamii ikipiga kelele kudai Dkt Nawanda achukuliwe hatua kwa tukio ambalo huyu mdogo wetu (Mwanafunzi wa SAUT) kajitakia mwenyewe huku ikisahau kutoa maonyo makali kwa tabia mbovu na za kihuni kama aliyokua nayo huyu mdogo wetu aliyefikwa na jambo.

Nashangaa kwamba jamii haioni kuwa ni kitendo cha kipuuzi na kihuni kwa binti wa miaka 21 kuwa kwenye mahusiano na mtu mwenye umri sawa na mzee wake au wakufunzi wake chuoni?! Je? Hakuwaoni vijana wenzake chuoni au mtaani ambao wangeweza kuandaa future nzuri ya maisha yao?!.

Na Kama tatizo ni pesa na maisha magumu ndio tuseme mabinti wa kizazi hiki wamekosa uvumilivu kiasi hicho?!, HAPA NINAYAKOSOA MALEZI YA MAMA ZETU KWA HAWA DADA NA WADOGO ZETU WA KIKE.

Nina ndugu na wadogo zangu wa kike ambao nimewaambia likitokea tukio la kujitakia kama hili sitatoa msaada wowote.

NB: Siungi mkono kitendo cha kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile ila uvunjifu wa maadili ukemewe kwa jinsia zote.


View: https://www.youtube.com/live/ie3dUDq4evE?si=aCK2qEiG8_E47vZn
 
Back
Top Bottom