Jamii kubwa ya watu wanapata matatizo ya kuvunjika mifupa lakini inashindikana kuunga. Wajue bacteria wanaoshambulia mfupa na kusababisha kansa

Jamii kubwa ya watu wanapata matatizo ya kuvunjika mifupa lakini inashindikana kuunga. Wajue bacteria wanaoshambulia mfupa na kusababisha kansa

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
1,604
Reaction score
3,715
Nimetembelea wagonjwa mbalimbali wanaoteseka na mivunjiko ya mifupa na kukutana na changamoto ya mfupa kushindwa kuunga au kuvunjika mara kwa mara hata bila kupata ajali yoyote !

Najua pia umekutana na watu mbalimbali wanaosubili kukatwa miguu kwa matokeo ya kupata kansa ya mifupa ! Tatizo hili hutokana na shambulio la bacteria kwenye mfupa !( Bone inflammable infection) Bacteria Hawa huondoa leya ya juu ya mfupa na kuanza kuupekesha !

Hivyo mtu akiwa na hii infection ni rahisi kupata mivunjiko mara kwa mara na hata akiwekewa chuma (antenna )Bado hawezi kupona kwa sababu wadudu wanakuwa tayari wapo ndani ya mfupa ! Mfupa ukishambuliwa na bacteria mwishowe husababisha kansa kamili ya mifupa !

Kansa ya mfupa matibabu yake ni kuuondoa mguu uliopata hayo maambukizi .! Ukiona mtu amevunjika lakini mfupa umegoma kabisa kuunga basi jua kwamba mfupa unabacteria !

Zipo dawa mbalimbali za kuondoa bacteria kwenye mifupa iliyoathirika hivyo ukiwa na mgonjwa na anateseka kwa muda mrefu jaribu kipimo Cha Crp na utajua wingi wa bacteria kwenye eneo husika

Screenshot_20250130-205755.jpg
Screenshot_20250129-233442.jpg
 
Mkuu usitutishe... Kama unafanya tangazo la dawa zako umesahau kuandika namba yako ya simu.
 
Mkuu usitutishe... Kama unafanya tangazo la dawa zako umesahau kuandika namba yako ya simu.
Hautishwi ila unaambiwa kama unaona halikuhusu pita kulia
 
Naomba kujua je kipi chanzo cha hao bakteria?,na wanaweza pia kushambulia mfupa wa nyonga au kiunoni??,3.ni dawa zipi za kutibu na kuondoa hao bakteria??
 
Back
Top Bottom