Jamii nisaidieni kutafuta mchumba/rafiki aliye bora

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Mi ni mwanamume wa miaka 26 nahitaji,mchumba wa miaka 18-24, awe mcha mungu,mkristo asiwe mchagaa,mzaramo,mnyamwezi,muhaya ila tofauti na hao nawapenda wote awe na mapenzi ya dhati,awe bikira,anaweza kuwasiliana nami,email-mchumba2007@yahoo.co.uk namba ya simu badae.awe rangi ya chocolate au mweupe,msomi.naitwa Nicelapaz
 
Did you find this post helpful?
|

Jamii nisaidieni kutafuta mchumba/rafiki aliye bora


Mi ni mwanamume wa miaka 26 nahitaji,mchumba wa miaka 18-24, awe mcha mungu,mkristo asiwe mchagaa,mzaramo,mnyamwezi,muhaya ila tofauti na hao nawapenda wote awe na mapenzi ya dhati,awe bikira,anaweza kuwasiliana nami,email-mchumba2007@yahoo.co.uk namba ya simu badae.awe rangi ya chocolate au mweupe,msomi.naitwa Nicelapaz




ha!ha!ha! dah ilo jina lako tu linatosha kukuonyesha ur grwn enaf to get swt wife..
duu afu wala hauna ubaguzi wa makabila..thats gud
afu wataka bikra cz we ni bikra...gud u wl gt em
rangi ya chocolate eennhh? mmh aya
VIGEZO VYAKO NI RAHISI KUFIKIWA kuwa mvumulivu wanakuja ...u just wait ma brada
 
Kazi ipo...lakini unge wawekea email yako ya zamani
 
Mchumba hatafutiwe kijana heshima yako inashuka..
tafuta mwenyewe usijekulalamika baadae
 
mmmh msaidiane kijana ameshindwa kufanya chaguo
 
What is your sexual orientation: Straight : Hetro : Homo :?
 
Am sad i do not have qualification.
 
Jichanganye mtaani utawapata wengi, au kutongoza umesahau
 
Hujawa tayari kuoa na huwezi kupata mchumba kwa namna hii, coz ur 2 categoric.
 
Bila shaka:A S thumbs_up:

yan acha tu ebu nimwimbie mie...mabata madogo dogo yanaoogeleeeeeeea yanaaooooooogeleeeeeeeeea katika shaaaaaaaaamba zuri la bustaaaaaaaannnn............malizia mwenyewe
too chldsh n he z nt serious from vigezo alivyoweka!!!!
 
Halafu we mdogo wangu, unapoingia kwa watu unatakiwa kubisha hodi bwana. Baada ya hapo ndipo unaeleza shida yako,

Haya tuendelee na mada yako. Wewe sifa zako ni zipi mbona huziweki? Weka sifa zako au wasifu wako ndipo itakuwa rahisi kupata, wachumba wengine nasikia sikia wapo humu humu ndani.
 

:jaw::biggrin1::jaw:
 
Anzia mtaani kwako, kwa kuwa unatafuta msomi jichanganye na wasomi, kwa kuwa unatafuta mchamungu penda kwenda kusali kanisani pia jiunge na kwaya. Miiko ya kupata mchumba mzuri usitangaze kwenye nmagazeti au kwenye mtandao wa internet utapata maumivu makali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…