Jamii saccos: Nina wazo la kuanzisha saccos ya wanaJamiiForums na wengineo

Yaani tujuane iwe km magroup ya whatsap ukimuandika vibaya bashite au baba yake wenzio wanakuchoma....!!

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Et?
Sent from AlphaPhone AP255 Using JamiiForums mobile app
 
Wahenga walisema kwenye miti hakuna wajenzi...
Tusiwe ivo...nina wazo la saccos nitaliweka hapa......
Wenye mawazo wanakaribishwa.
mkuu tulishanzisha ikagoma.... tilichanga hela tukawa na ofs nzuri sana hapo kinondoni tukafanya parttion tukasajili ikakomea padogo sana watu kwenye vikao hawaji tukaaamua kukubaliana kuwa tumeshindwa.... kaka kiiza, nampesia, nawengine..... ikashindikana bana
 
Tulianzisha hapa na tukapigwa na member wa humu we acha ila tulikodi ofisi ufipa kwa miaka 2 bila hata kufanya lolote na jutia ile pesa ningeipiga ulabu kuna member hapa wanacheka maana walijaribu...ila nisikukatishe tamaa ila nitakuwa wa mwisho.

Mobile Traveller
 
Hilo wazo lilishafell miaka 4 iliyopita Tulishapata na usajiri kabisa KakaKiiza anajua, Na wadau wengine wakongwe watakusaidia wapi tulikofell
Safari hii tutajitahidi mkuu
 
T
tuwaze kibiashara
 

Tujitahidi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…