Jamii Social Club-Uchaguzi wa Viongozi

Hamtaki vyeo?

  1. Mwenyekiti
  2. Makamu mwenyekiti
  3. Katibu
  4. Mhazini(mimi mwenyewe)
  5. Wajumbe 6 wa kamati kuu
 
Mkuu,, utaratibu uliotumika kumpata Mhazini utumike kuwapata hao wengine wote..

Napendekeza
 
Nawasapoti,pendekezeni majina
 
hivi mbona sielewi........
 
We acha tu, kwanza club ya nini? wengine hatutaki CLUB tunataka BAR, na kunawengine watatka KANISA na MSIKITI!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…