Nafurah kuona skulmates tuko wengi sana. Aisee huyu mbaba nlikuwa namwogopa balaa, kwenye kipindi chake nilikuwa hata sikohoi, kalamu ikidondoka siokoti mpaka kipindi kiishe!..lol.
Mh hyo ni zamani sana. Hapa mamangu alikuwa Mtakuja primary school!..lol.Teachers in Arusha Secondary School then included Mr. Streets [an Afro American Peace Corp] Mr. McNickle; Mr. Harding; Mr. Pathan; Mr. Bhogal; Mr. & Mrs. Ahmed. The first African Headmaster was Mr. Mabele followed by Mr. Kabati and then Mrs. Materu came in from 1966 until the early 1970s. Other African teachers included Mr. Kilimba; Mr. Magembe etc.
Preta!! Itabidi tutaftane zaidi manake mi pia hmaster niliyemuacha alikuwa Mr. Shayo. Isijekuwa wewe ni clasmate pia.
Mi mwenyewe afernoon session ilikuwa bora sana! Ha kujifcha Elite na sheli havijasahaulika!..am happy kuyakumbuka haya. Ulimaliza na masweta ya rangi gani?..Inawezekana, duh itabidi tufanye hivyo......vipi kuhusu mambo ya Elite na pale petrol station kwa Patel saa hiyo umechelewa inabidi ujifiche huko.......nilikuwa naona afternoon session ndio bora kwangu kwa kweli
Akikusikia huna bahati.Mrs Johnson kabla ya kuolewa aliwahi kuwa mpenzi wangu. . . !
Mi mwenyewe afernoon session ilikuwa bora sana! Ha kujifcha Elite na sheli havijasahaulika!..am happy kuyakumbuka haya. Ulimaliza na masweta ya rangi gani?..
Akikusikia huna bahati.
Mrs Johnson kabla ya kuolewa aliwahi kuwa mpenzi wangu. . . !
Sikumkuta ila nilizikuta habari zake. Aisee yawezekana twajuana. Ntakutafuta ki utu uzima!Rangi nyeusi.....Ulimkuta Hoyce Temu?
watoto wa Arusha mkifikiri kwakina mtaelewa mimi nilikua nani pale , miaka 17 nimeshika chaki hapo.
Shikamoo Mr. Msomali.watoto wa Arusha mkifikiri kwakina mtaelewa mimi nilikua nani pale , miaka 17 nimeshika chaki hapo.
Sikumkuta ila nilizikuta habari zake. Aisee yawezekana twajuana. Ntakutafuta ki utu uzima!
Yalaaaaaa! Good manners, ckumbuki hata moja.Basi utakuwa ulikuwa unafaidi sana.....maana alikuwa anajua kupika huyo...na kutufunza mambo ya good manners na good grooming......he he DS bana
mnamkumbuka munga now ni h/master kaloleni na yule mama wa commerce ni h/mistress ngarenaro na mama kawala alienda kuwa mkuu mringa wengi wengi waliojiendeleza kielimu wamekuwa wakuu wa shule ile sheli now haifanyi kazi. Ila a- level ya ars sec ndo kiboko wanajitahidi kimtindo
Rangi ya bluu!inawezekana,nyie mlimaliza na sweta za rangi gani?
Unakikumbuka na kile ki BITO chake?? Nilikuwa nampenda cz alikuwa mpole sana, hachapi hovyo. Ila kweli hazeeki sijui amemezaga nini huyu mzee.Huyu Munga huwa hazeeki yuko vile vile....jamaa mrefu kama mstimu wa umeme.....Umetaja Mringa nikakumbuka kuna siku tulienda cheza mechi pale.....sijui ilikuwaje bana.....tulichezea kichapo wacha kabisa
Yalaaaaaa! Good manners, ckumbuki hata moja.
Basi utakuwa ulikuwa unafaidi sana.....maana alikuwa anajua kupika huyo...na kutufunza mambo ya good manners na good grooming......he he DS bana