Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Anak, viumbe kutoka nibiru waliokuja duniani na kukutana na dunia iliyokuwa imejaa sokwe weupe na weusi, na jitihada zao katika kuunganishi genie zao na za viumbe ilivyovikuta duniani ili kuoata kiumbe bora kitakacho endana na vizuri na mazingira ya dunia, hadithi NZURI zaidi inapatikana katika kitabu cha HENOKO, the banned books of biblia.