econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Leo tarehe 15/11/2024 jamii ya wapemba imetambulika rasmi Kama raia na wamepewa vitambulisho vya Taifa la Kenya. Hivyo wapemba wote wanaoishi kwenye Kaunti ya Kwale, Lamu, Kilifi na Mombasa watakuwa na haki sawa Kama wake ya wengine Kama kumiliki Ardhi.
Hongera Serikali ya Kenya kwa kuwatambua wapemba.
Hongera Serikali ya Kenya kwa kuwatambua wapemba.