Process nadhan ni ngumu labda uwe na connectionUnaruhusiwa kuhamia huko maana ni sehemu ya Muungano
Mm mwenyew mwakani nahamia unguja mazima. Nimepapemda sana matemwe ungujaMimi ni mtumishi wa umma ni mwalimu naomba kuhamia pemba kutoka bara au hata unguja niliwahi kumtembelea huko nilipapenda sana
Sasa ni mwendo wao kufyatua tuuLeo tarehe 15/11/2024 jamii ya wapemba imetambulika rasmi Kama raia na wamepewa vitambulisho vya Taifa la Kenya. Hivyo wapemba wote wanaoishi kwenye Kaunti ya Kwale, Lamu, Kilifi na Mombasa watakuwa na haki sawa Kama wake ya wengine Kama kumiliki Ardhi.
Hongera Serikali ya Kenya kwa kuwatambua wapemba.