Hii nimeikuta kwenye Blog ya faza Kidevu na kwa kweli nimekasirika na kusikitika sana kuona kweli Tanzania Mama anaweza kumpa mtoto kileo katikati ya watoto wanaosherehekea sikukuu na ionekane ni kiburudisho?
Tena huyu Mama anajisifia hili!! Jee hakuna sheria ya kumuadhibu Mama kama huyu? Anasema Mtoto anaondoka na safari 2 bila kulewa?
Ni tuseme haelewi kuwa anachokifanya ni kuvunja sheria?
Tuwacheni uchochezi usiokuwa na faida wala manaa inawezekana huyo mamam alimpa mtoto aonje hiyo beer na sio kwaleo la kumlewesha ukiangalia hata hao wazungu tunaowaiga jinsi ya kuishi na starehe wamekuwa wakiwapa watoto zao kwenye vigilasi kiasi kidogo kama ni beer au wine waulizeni kama watakataa hilo kwakua nchi sasa inafuata mila ya uhaibuni ndio tukubali mabadilisho ya tamaduni yanakuja hayo
Kule kwenye source ya hii habari kwa Father Kidevu wamesema Mama ndie aliyethibitisha kwamba huyo dogo anapiga tarumbeta chupa 2 za safari, hii sio kuonja na kutamsababishia madhara huyu mtoto kama ataendelea.Tuwacheni uchochezi usiokuwa na faida wala manaa inawezekana huyo mamam alimpa mtoto aonje hiyo beer na sio kwaleo la kumlewesha ukiangalia hata hao wazungu tunaowaiga jinsi ya kuishi na starehe wamekuwa wakiwapa watoto zao kwenye vigilasi kiasi kidogo kama ni beer au wine waulizeni kama watakataa hilo kwakua nchi sasa inafuata mila ya uhaibuni ndio tukubali mabadilisho ya tamaduni yanakuja hayo