JamiiCheck yashinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122

Jukwaa la Kidigitali katika Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck linaloendeshwa na JamiiForums limeshinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge iliyokuwa ikiwaniwa na Taasisi 113 za Kiteknolojia kutoka Tanzania

Shindano hilo liliandaliwa na Marekani kupitia Ubalozi wake nchini ambapo JamiiForums kupitia mradi wake wa "Mwananchi Makini," inalenga kuhakikisha Wananchi wanakuwa na Taarifa Sahihi ili kufanya Maamuzi Sahihi wakati wa Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025

Ikumbuwe kuwa, JamiiCheck inawapa Wananchi fursa ya kuwasilisha taarifa ambazo hazijathibitishwa, kushiriki katika mchakato wa kuzihakiki, na kupokea tathmini ya ukweli wake ndani ya muda mfupi
 
Hongera, kwani jamiicheck Ina usajili binafsi tofauti na ule wa jamiiforum?
Hongera sana kwa kazi njema
 
Kwenye suala la uchambuzi, utoaji taarifa kwa haraka na uhakiki wa haraka na uhakika wa taarifa zozote, nadhani JF ndio kinara kwa miongo yote hii miwili kwa hapa Tz. Jamiicheck ni level ya juu mnoo hapa TZ kwa sasa.
 
Mbona taarifa za jukwaa la mapenzi hamjawahi kuzithibitisha kama n za ukweli au la! tunapewa story kibao za kimahusiano na hatujui zipi za kweli na zipi za uongo.
 
View attachment 3100695

Jukwaa la Kidigitali katika Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck linaloendeshwa na JamiiForums limeshinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge iliyokuwa ikiwaniwa na Taasisi 113 za Kiteknolojia kutoka Tanzania

Shindano hilo liliandaliwa na Marekani kupitia Ubalozi wake nchini ambapo JamiiForums kupitia mradi wake wa "Mwananchi Makini," inalenga kuhakikisha Wananchi wanakuwa na Taarifa Sahihi ili kufanya Maamuzi Sahihi wakati wa Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025

Ikumbuwe kuwa, JamiiCheck inawapa Wananchi fursa ya kuwasilisha taarifa ambazo hazijathibitishwa, kushiriki katika mchakato wa kuzihakiki, na kupokea tathmini ya ukweli wake ndani ya muda mfupi
Check is the best innovation aisee
 
Nawapongeza sana Jamii check naona hata habari ya Mbowe kusitisha maandamano mmeicheck na kutuletea taarifa kama ni kweli na uzuri mmeonesha wazi video ya siku nyingi sana…
Hongereni muwe mnaleta majibu haraka!
 
View attachment 3100695

Jukwaa la Kidigitali katika Uhakiki wa Taarifa la JamiiCheck linaloendeshwa na JamiiForums limeshinda Tuzo ya U.S.-Tanzania Tech Challenge iliyokuwa ikiwaniwa na Taasisi 113 za Kiteknolojia kutoka Tanzania

Shindano hilo liliandaliwa na Marekani kupitia Ubalozi wake nchini ambapo JamiiForums kupitia mradi wake wa "Mwananchi Makini," inalenga kuhakikisha Wananchi wanakuwa na Taarifa Sahihi ili kufanya Maamuzi Sahihi wakati wa Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu wa 2025

Ikumbuwe kuwa, JamiiCheck inawapa Wananchi fursa ya kuwasilisha taarifa ambazo hazijathibitishwa, kushiriki katika mchakato wa kuzihakiki, na kupokea tathmini ya ukweli wake ndani ya muda mfupi
Hongerenia sana. Tunajivuni mafanikio haya
 
Back
Top Bottom