JamiiForums awards 2018/2019

Sababu anamaneno machafu zaidi ya Choo cha stendi aiseeeee......
Yule jamaa akikufungukia, unaweza jikuta unaLog off
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimlazimika kucheka bila kupenda,mm nina wasiwasi na matumizi sahihi ya mdomo wake yawezekana hautumiki kulia chakula bali kwa Excretion.
 
Mi ni hater kweli kweli ila Hiyo No 5 Kuna mashenzi mawili nikiyaonaga najiona mi ni mtakatifu saaana, hiyo award itawafaa hawa Raphael wa ureno na Victor wa happy
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimlazimika kucheka bila kupenda,mm nina wasiwasi na matumizi sahihi ya mdomo wake yawezekana hautumiki kulia chakula bali kwa Excretion.
Ohhhppppssssss....
Mdomo wangu umebaki wazi kabisa... tehteehhh
 
Ungeweka na tuzo za wenye wana anzisha thread ilimradi nadhani ingekuwa inakuhusu hiyo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimlazimika kucheka bila kupenda,mm nina wasiwasi na matumizi sahihi ya mdomo wake yawezekana hautumiki kulia chakula bali kwa Excretion.
Akikujibu mbona utafurahi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…