JamiiForums: Content Managers/Moderators (10)

Status
Not open for further replies.
Nice
 
Nikiwa mod naweza fukuzwa kazi ndani ya miezi mitatu. Natembeza ban kwa kila anayetukana, anayedharirisha, anayeandika uongo
Utajuaje ni uongo? Kudhibiti hayo ndo kazi ya mods, huwezi kufukuzwa.
 
Utajuaje ni uongo? Kudhibiti hayo ndo kazi ya mods, huwezi kufukuzwa.
Mtu leo kafumaniwa, kesho mke wake sijui kamfungia nje, keshokutwa anatafuta mpenzi, jana alikuwa single. Nyuzi zote ngono na haziendani
 
Hii kazi ni lazima niwe ofisini (physically) au naifanya remotely kiongozi, naomba ufafanuzi...???
 
Threads zangu pendwa ni ya kula tunda kimasihara pamoja na uzi wa wazee wa kubet, vp nitakuwa nimekidhi viwango au niko nje ya reli?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…