JamiiForums: Content Managers/Moderators (10)

Status
Not open for further replies.
Age limit haijatutendea haki sisi wakongwe wa JF na wenye ujuzi huo.

Wakongwe tuendelee kulumbana kwenye hoja, ukianza kazi za mod utasumbuka sana akili pale kuna mtu kaleta hoja unataka umbishie, utajikuta unafungua akaunti nyingine ili uchangie, sasa hapo ufanisi wako utapungua maana unalumbana ilhali unapaswa ufanye kazi ya urefa.
 
Kwa waajiriwa sehemu zingine public/private tunaruhusiwa ku apply?
 
Always I have been looking an opportunity to "JamiiForums volunteer in Content Management" but the age puts me off. I know that creating chance for youths is good. But I love Jamii Forums and want to contribute my skills.
 
Worry out Muhaya ur time is now
Always I have been looking an opportunity to "JamiiForums volunteer in Content Management" but the age puts me off. I know that creating chance for youths is good. But I love Jamii Forums and want to contribute my skills.
I
 
Mimi nina kigezo kimoja tu cha 20-30 yrs! Sijui ni apply [emoji848], Au basi!
 
Umetuweza kwa kweli.
 
Nafasi yangu kabisa hiiπŸ™„
 
JamiiForums is a non-governmental organization based in Dar es Salaam, Tanzania that advocates and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance.

Enhee wacha nicheke kwanza 🀣🀣🀣🀣
 
Kwani umesoma mpaka la ngapi ndugu hadi ulalamike dhidi ya ung'eng'e?
mimi nina la nne langu la zamani na kama unavojua watu wa zamani tuna maono japo hatujasoma.

sasa kingereza kinafuata nini hapo jamani wakati kati ya hizo nafasi mojawapo inanifaa kabisa ?😒
 
mimi nina la nne langu la zamani na kama unavojua watu wa zamani tuna maono japo hatujasoma.

sasa kingereza kinafuata nini hapo jamani wakati kati ya hizo nafasi mojawapo inanifaa kabisa ?😒
Kama ulihitimu la nne enzi zile basi huwezi pata kazi hii maana waombali watakuwa wawe na umri kuanzia miaka 25 - 30

We utakuwa ni mzee ndugu, waachie wanao wachangamkie hii fursa
 
Kama ulihitimu la nne enzi zile basi huwezi pata kazi hii maana waombali watakuwa wawe na umri kuanzia miaka 25 - 30

We utakuwa ni mzee ndugu, waachie wanao wachangamkie hii fursa
😁😁😁 mbona hujauliza nimemaliza la nne mwaka gani ?

hata mwaka jana ni zamani tu mbona ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…