ππππ huu ubaguzi sasaNdio maana nimekwambia waachie wanao wewe huwezi mambo ya vijana babu
ππππSorry nimekosea room,,,,, mniwie radhi
Kuna watu wameitwa mkuu maybe changamoto ni Ile "Only successful applicants will be contacted"sitaki kuamini hata hizi nafasi zilitangazwa kimchongo mchongo
Vipi wakuu, kuna yeyote ameitwa kwenye usaili?
Tayari watu walishalamba kazi au kimya bado?
Duh, wameitwa lini mkuu?Kuna watu wameitwa mkuu maybe changamoto ni Ile "Only successful applicants will be contacted"