JamiiForums downtime - July 12, 2026

Tunashukuru pia mkuu wangu.

Aidha, nawashukuru wale waliotutafuta hadi kwa simu kutufahamisha kuna changamoto ya upatikanaji wa jukwaa.

Changamoto ilikuwa kwenye miundombinu tokana na masuala ya umeme kuleta mushkeli kwenye hardware. Hata hivyo, team ilifanyia kazi haraka na kuhakikisha huduma zinarejea.

Tunawashukuru kwa uvumilivu na ushirikiano wenu
 
Who knows? May be, Yes.

Wenye nia ovu bado wapo online hawapendi kuona mipango yao ovu ikianikwa hadharani.
Stop imagining things.
Jf ya sasa haina nyuzi zinazohatarisha maslahi ya mafisadi.
 
Ile timu yao ya doria mtandaoni ndio imefanya haya itakuwa.
Huna akili , taarifa inajieleza wewe umekomaa na timu doria , Maarass ! unadharau mpaka taarifa ramsi ya Jf
 
well done the Boss and your JF hardworking team 👊
 
Mkuu Maxence Melo uliliona ombi langu ?
Asante sana kwa kunirudia na kunipa mrejesho. Ubarikiwe sana na Mungu azidi kukuinua juu sana katikati ya dhoruba hizi zinazoendelea
 
Mda huo sikuwa na bando, nimekuta mambo yapo shwari tu
 
Asantee mkuu☺️
Mambo yapo sawa na tunaendelea kuvinjari
 
Watu wa JF mnadeka sana aisee, bado mtu wa kutokea aseme amekosa mchongo wa 50M kutokana na JF kutokuwepo hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…