Jamiiforum's Friday Nite Live(JFNL)..Hapa ndio kwenyewe!!

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2007
Posts
3,715
Reaction score
92
Aaaahh, saa nyingine mada zikizidi kwa kweli zinaboa hasa pale wachangiaji wenyewe wanapokosa cha kuchangia. Sio vibaya kama tuthave fun kidogo hadi jumapili jioni.


Naam hapo juu naona FOX-News imelenga kweli kweli !

kama mtapata muda wa kumuona huyu angalieni fox news asubuhi !


dana bash wa ccn ! unajua kwa nini anatengeneza nywele zake hivyo ?
- maskio yake madogo mno !
- anaongoza kwa kukodoa !


nani zaidi, condi
au



kada picks MICHELLE OBAMA

sasa shughuli ipo hapa



au


katie couric
kada picks KATIE COURIC


chelsea clinton
au
barbar bush

 
Wanabodi

Je Na Mimi Naruhusiwa Kuposti Humu Au Mnanishaurije Maana Kada Mpinzani Keshanza
 
Wanabodi

Je Na Mimi Naruhusiwa Kuposti Humu Au Mnanishaurije Maana Kada Mpinzani Keshanza

brazameni hao watu ni at least tunaweza kusema "respected" kwa kiasi fulani. hao unaowaweka wewe mhm haya mie !
 
ha ha ha ha.... brazameni, naona umebadirisha flavor.......... yummy!!! 🙂
 
huyu admn. vipi leo ?? hii kitu angeacha ikae kwenye politics hadi jumapili jioni yeye anaileta huku ! shush...ahh !
 
Nyani Ngabu nilitaka kumuwekea Candy Crowley wa CNN !
 
Loh! Mi Candy simwezi bana....
Niwekee totoz za FOX News.....

he he kuna yule mdada wa Fox News anaitwa Greta, dah no comments ila kwa kifupi I just can't stand her...

NN na wewe unapenda Triple XL nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…