Jamiiforums gossip and rumours

Jamiiforums gossip and rumours

ALPARSLAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
467
Reaction score
1,181
Ili kuepusha kuharibu nyuzi nyingine kama ambavyo imekuwa ikitokea katika majukwaa mbali mbali
Sasa rasmi huu ndo Uzi wenu wambea wa jf na nje ya JF.

Kwa umbea Wa ndani au hata nje ya JF, member anaetaka kujimwaya mwaya anaweza kutumia code Ili wenye D mbili waende nae sawa
(Sio lazima kutumia code)

Kupitia huu Uzi ambao ni Malumu Kwa ajili ya GOSSIP AND rumours member yeyote ataweza kujimwaya mwaya hapa kwa kile alichokiona au kukisikia nje na ndani ya JF

ANGALIZO :matusi hayaruhusiwi epukeni kukiuka Sheria za nchi pamoja na za Jamiiforums.
 
tom-holland.gif
 
Nani mwingine ameona kama Vincenzo kanyanganywa verification badge😄
naskia Kuna watu wameuza ma file yake Mpaka ikapelekea mod kuchukizwa sana na kumuondelea verification badge
Sijui ni Ma file ya aina gani hayo au kafanya kosa gani 😁 ila atarudishiwa baada ya muda

haya
nawasilisha umbea mm
 
Ili kuepusha kuharibu nyuzi nyingine kama ambavyo imekuwa ikitokea katika majukwaa mbali mbali
Sasa rasmi huu ndo Uzi wenu wambea wa jf na nje
ya jf
Kwa umbea Wa ndani au hata nje ya jf, member anaetaka kujimwaya mwaya anaweza kutumia code Ili wenye D mbili waende nae sawa
(,sio lazima kutumia code)

Kupitia huu Uzi ambao ni Malumu Kwa ajili ya GOSSIP AND rumours member yeyote ataweza kujimwaya mwaya hapa kwa kile alichokiona au kukisikia nje na ndani ya jf

ANGALIZO :matusi hayaruhusiwi epukeni kukiuka Sheria za nchi pamoja na za jamii forum.
Nchi tunatumikishana kijinga sana.
Haya mnaitwa wambea
 
Back
Top Bottom