JamiiForums hupelekea addiction kama madawa ya kulevya; Lakini yenyewe ni nzuri kwa afya

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,162
Reaction score
705
Yaani kwa mitandao yooooooote hapa duniani basi JF ndio MTAKUJA na HATOKI MTU HAPA. Hivi huyu muanzilishi wa JF katuwekea kimzizi gani?

Maana ukishaizoea JamiiForums utaifurahia kila siku, haichoshi na kila siku utakuwa unaimiss tu.
Ni kama pombe tu au madawa ya kulevya, inasisimua mwili, inaburudisha na kustarehesha; kikubwa zaidi inafunza sana. Lakini haina madhara kwa afya.

JF ina limbwata? Au Matambiko yake ni bab kubwa?

Natania tu jamani...
Haa haaa haaaaaa.........
 
Delete account yako xo after hapoo utajua
 
Nafikiria kuwafungulia mashtaka JF, walitakiwa waweke warning somwhr kuwa UTUMIAJI WA JF NI.HATARI KWA KAZI YAKO, maana mtu ukiingia humu.hutamani kutoka kabisaa, unaweza poteza kibarua hivihivi.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mbona bidhaa au huduma nyingine wanaweka warning lable?!😑😑

Mfano sigara, pombe au hata baadhi ya magame ya computer?!

Msinipige BAN nataniaπŸ˜€πŸ˜€
 
JF Inaleta addiction lakini huwezi kompea na drugs
..yaani..say
..uko addicted to madawa na JF afu una buku tu
..je utanunua kete upoze au vocha uingie JF..?
 
naandika hii nipo bafuni simu imeshalowa maji ila sijali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…