Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida .
Mfano mafua makali
Kichwa kuuma
Mwili kuchoka haraka
Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk.
Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf?
Kuna wakati nashindwa kulala kabisa Kama sijapitia humu.