JamiiForums imeboresha mwonekano kwenye Kurasa za Mitandao ya Kijamii ili kukupa Mwonekano wa Kisasa na rahisi kwenye kuthibitisha Maudhui yake
Mwonekano huu mpya unalenga kuwapa wananchi nafasi zaidi ya kushiriki kwenye Mijadala mbalimbali inayoendelea hapa Jukwaani JamiiForums.com na zaidi ya yote wataweza kuhakiki uhalali wa maudhui hayo kwa kufuata Maelekezo yanayotolewa kwenye Video hii.
Your browser is not able to display this video.
Asante na endelea kufuatilia akaunti zetu kwa maudhui bora zaidi