Hongera sana. Umeonyesha moyo kurudi na kutoa shukurani. Ni changamoto kwa wote wanaonufaika na JF, angalao kusema tu AHSANTE. Huu ni ukomavu, nimeona William Malecela kwa kupata mafanikio kisiasa na leo huyu kwa kupata kazi. Pia marehemu Regia Mtema, aliikumbuka JF wakati wote. Wapo wengine pia, si rahisi kuwataja wote, lakini ambao wameghafilika, waige mfano wa hawa.