JamiiForums ina mambo

Hahaaa jamii forum almost wote matajiri tena waajiriwa wa serikali
Jamii forum kuna kale kashoga kanajulikana na watu wote jina lake linaanza na r.......hahaaaaaa
 
kuna member wengine masaa 24 wapo JF yaani sijui huwa wanakuja na mablanketi na mashuka...mi nahisi wanalala humu humu[emoji23][emoji23]
 
Yule ambae ambae amepanga pale kwa manyoni kwa mzee kifalufalu?
Yule namjua sana deile anajificha kwa jinsi anavyowindwa na madeni yani anaishi maisha ya hovyohovyo sana...
hahahahahahaahah kwikwkwikwi hehehehehehehe, tehe tehe tehe tehe kwidikwidikwidikwidi dihidihidihidihi huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…