JamiiForums ina mambo

Chit chat ndio kuna pumba zote za mahindi hadi njegere
 
Nimechelewa kujiunga jamii forums ila daaaah ni sehemu bora sana ilianzisha na watanzania wenzetu
 
Subiria majibu ya mwendokasi yatakayokuachanisha taya...Kuna watu wana majibu ya kushangaza mno humu ndani! Bingwa wao akiwa huyu jamaa MO11
Majibu ya kukata na shoka halafu mubasharaaa
mbona kama unanisingizia
 
Halaf jf kila mtu ana mapenzi ya kweli kwa mpenzi wake,hajawah cheat,,ni mkwelii,mtakatifu,ana uwezo sana hajawah pitia shida ,,sio fake ,,,humu balaaa
 
Hyo moja ni uongo kama wew mfata mkumbo usifkiri ni kila mtu
 
Kwa sababu wote tunatumia I'D fake unaweza ukawa unabishana na baba mzazi pasipo kujua humu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
10.Wengine hawajuagi hata kah mishahara imetoka au inatoka lini,ila akiingia JF anakuta watu wanasema mi mshahara nimeshakula au umetoka zamaniii.kumbe wengne wanasema mishahara ya jobs ambazo sio official.....mtu anajilipa mwenyew.
Wengine wanakuja na story za uongo wanachoandika wiki jana ni tofauti kabisa na wiki hii, wiki jana alisema amefaulu form 6, wiki hii anakwambia amepata sup 5 UDSM. cc HR 666
 
Hahaaa jamii forum almost wote matajiri tena waajiriwa wa serikali
Jamii forum kuna kale kashoga kanajulikana na watu wote jina lake linaanza na r.......hahaaaaaa
Duh hapo kuna kaukweli, watu wanakaponda kweli wakiwa humu but kwa taarifa ya kunyapianyapia PM yake imejaa mitongozo, nakumbuka kama vile namimi nimewahi kukapm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…