JamiiForums ina mambo

Hahaaaaaaa siku fake IDs zikiwa real kuna watu watajikana sio wao kwa jinsi ambavyo mabandiko yao humu yatakavyokuwa yanawavua nguo.....tehe teheeee nawaza kwa sauti tu maana ndoa zitavunjika, kazi zitapotea.......[emoji13]
 
Hongera mtoa mada.
Kilichoongelewa kwa asilimia kubwa kina ukweli. Unahitajika umakini wa hali ya juu tunaposoma ushauri wa WAKUU hapa JF.

Akili za kuambiwa...............
 
Na hizi tabia:-
1)kuitana "mkuu"
2)kuomba picha hata thread isiyohitaji picha

Inakera sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…