JamiiForums is the best social media in Tanzania

Sisi tuliifaidi zaidi JF huko nyuma. Mabomu yalikuwa siyo ya Kitoto maana jukwaa lilijaa wazito tena kwa majina yao halisi na vinashuka vitu hatari. Siku hizi ya kawaida sana tu.
idooh!!! how i wish na mm ningekua na interest na JF those days.
Nilikua nachukia sana ma mitandao ya maneno maneno bila ma picha picha kama facebuk

ahahahahaha.
i was a dumb fool.
 
sawa..ila ile tuzo aliyopewa @maximello ilikuwa batiri sana, uhuru wa watu kujimwambafai humu jukwaani haupo kabisa, nyuzi zinafutwa/kuungwanishwa pasipo mwandaaji kupewa taarifa..hakika wanatukosea sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jf is the best, ukiwa bored, ukitaka ushauri, ukitaka kucheka. kitu pekee cha kufanya ni ku login Jamii Forums! long live JF...
 
sawa..ila ile tuzo aliyopewa @maximello ilikuwa batiri sana, uhuru wa watu kujimwambafai humu jukwaani haupo kabisa, nyuzi zinafutwa/kuungwanishwa pasipo mwandaaji kupewa taarifa..hakika wanatukosea sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
Tangu walipoamua kuajiri kwa kutangaza kazi waziwazi basi tukajua mambo yatakuwa si mambo. Machale yakatucheza. Ila nakumbuka nilimwambia in one of the posts kuwa JF will no longer be the same after open public recruitment. Wanaoelewa watanielewa.
 
.

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…