JamiiForums Isidingo

JamiiForums Isidingo

k29

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
730
Reaction score
1,211
Kama wengi tunavyoijua isidingo, mi tangia nizaliwe hadi leo bado haijaisha.
Basi huu ni uzi wetu wa maisha yetu hata watakao jiunga jf waukute na watakao ondoka wauche bado upo.
Lengo la huu uzi ni kupeana yalio kutokea kwa siku husika ya leo, chochote kile. Hata kama hukufanya kitu zaidi ya kuangalia tv na kusikiliza redio sawa tu.

Mimi naanza, leo nina miadi na mtoto mkali sana kukutana nae. Mambo yakitiki ntakujua kusema hapo baadae.
Karibuni wana jf wote. Tuendeleze JF ISIDINGO

sent using samsung galaxy s8
 
Hapa nipo nang'aa sharubu kwa siku ya leo nikitafakari week ilivyoisha ovyo ovyo
 
Nmemeet leo na yule mtoto ambae nlpanga tukutane, siku imeenda vzuri

sent using samsung galaxy s8
 
Back
Top Bottom