Kama wengi tunavyoijua isidingo, mi tangia nizaliwe hadi leo bado haijaisha.
Basi huu ni uzi wetu wa maisha yetu hata watakao jiunga jf waukute na watakao ondoka wauche bado upo.
Lengo la huu uzi ni kupeana yalio kutokea kwa siku husika ya leo, chochote kile. Hata kama hukufanya kitu zaidi ya kuangalia tv na kusikiliza redio sawa tu.
Mimi naanza, leo nina miadi na mtoto mkali sana kukutana nae. Mambo yakitiki ntakujua kusema hapo baadae.
Karibuni wana jf wote. Tuendeleze JF ISIDINGO
sent using samsung galaxy s8