SoC04 JamiiForums iwe tovuti rasmi aminika na serikali ya kukusanya maoni na fikira kwa wananchi juu ya changamoto zinazohitaji utatuzi

SoC04 JamiiForums iwe tovuti rasmi aminika na serikali ya kukusanya maoni na fikira kwa wananchi juu ya changamoto zinazohitaji utatuzi

Tanzania Tuitakayo competition threads
Joined
May 19, 2024
Posts
10
Reaction score
7
images (9).jpeg

Niwazi ya kuwa serikali iko mbioni kwa hali na mali kuhakikisha kuwa wananchi na watanzania wote wanakuwa sehenu na maendeleo na utatuzi wa changamoto katika jamii

Ukuwaji wa democrasia nchini na uhusishaji wa wananchi imekuwa tamanio kubwa sana la serikali nyingi
Imekuwa tamanio kubwa la Serikali ya Tanzania kuhakikisha kuwa Wa wananchi Wana kuwa wahusika wakubwa wa Kila changamoto ambazo zinaikabili nchi pasipo kuangalia wako mahali gani ili kuleta ufanisi zaidi na kudumisha dhima ya Uhuru wa kujueleza na ushirikishaji wa awatanzania katika jamii zetu kwa kiwango kikubwa pia pamoja na kuondoa Hali ya wachache kutuo maamuzi ya taifa ambapo yanaweza kuleta madhara makubwa pamoja na utaifishawaji wa rasilimali za Taifa.

UKUAJI WA TEKNOLOJIA HABARI
Niwazi ya kuwa kimekuwa na ongezeki kubwa la watumiaji wa wamiliki wa simu janja nchini ambapo takriban 50% ya Watanzania wanamiliki simu janja ambapo asilimia kubwa kati ya hao wanatumia wovuti na social media mbaki mbali kibiashara na kueleza mitazamo yaoikiwemo kupitia Jamii forums. Kuongezeka kwa majukumu ya familia na kujitafutia ridhiki imekuwa ngumu sana kwa watanzania wengi kushiriki katika vikao vya vijiji au wilaya kata au kitaifa ili kutoa maoni juu ya mustakabadhi wa nchi na wanatumia mitandao Zaid kama njia iyo mahali popote walipo.

JAMIIFORUMS
Jamii forums ni tuvuti ilio gunduliwa na Mr Maxence Melo mwaka 2006 yenye ndio tuvuti yenye wadau wengi zaidi Tanzania (All Africa) Tovuti Jamii forum imekuwa chombo muhimu na aminika na watanzania wengi pamoja na Taasisi nyingi kwa Ukweli na umanika katika kufikisha na kushirikisha jamii juu ya mambo yanayoendelea katika nchi kwa ufanuisi na hekima ya Hali ya juu .Pamoja na kuwa na aminika na umaridadi wa Hali ya juu chombo hichi kimetoa ushirikishaji wa wadau wake wote kwa democrasia na uwazi kwa kila mada zinazokumba jamii pasipo upendeleo wa aina yoyote bila kujali dini,kabila,siasa au makundi ya aina yoyote.

FICHUA UOVU
kupitia Jukwa Jamii Forum la fichua uovu wananchi wamekua wakileta kesi na malalamiko mengi juu ya ukiukaji wa haki na maadili katika jamii ikiwemo ubakiaji,ulawiti, rushwa

Mauji ya Watu wenye Ualibino
images (8).jpeg

Chanzo mtandaoni

Ndugu zangu watanzania harakati ya kuwakomboa ndugu zetu wenye ualibuni kutokana na ukatili inahitaji uharaka wa taarita na usalama Kwa wale wanatoa taarifa hizo kipitia jamii forum imekuwa na itazidi kuwa njia salama na ambayo serikali inabidibi ihusike.

Ulawiti wa watoto
Screenshot_20240627-151131_1.jpg

Chanzo mtandaoni

Kiukweli inaumiza mioyo yetu wote kwa matukio haya.Kupitia jamii forum serikali itaweza kuyazehibiti kwa Hali ya juu kwani ufanisi na utamaji wa taarifa hizo zinatoka kwa wananchi moja kwa moja hata kabla ya tukio halijatokea

Kesi za ukeketaji wa watoto
Screenshot_20240621-195413_1.jpg

mtandaoni

Imekuwa ni njia ya haraka zaidi kwa watanzania kugundua changmoto mbali mbali ndani ya muda mfupi kwani imekuwa ni gumu sana Kwa wanacnhi kulifuata jeshi la polisi kuhofia kujulikana na uhatari wa usalama wao je Serikali haini hii ndio fursa ya pekee na narahisi ya kuishikilia ili kukuza zaidi haki na democrasia

JUKWAA LA MIJADALA YA KIMAENDELEO
wananchi wa Tazania wanahitaji njia salama na rahisi ya kutoa mawazo Yao nafikra zao ni vipi nchi iendeshwe na namna vipi maendeleo ya nchi yatafikiwa kwani nchi yetu Ina watu wenye weledi na elimu mbali mbali .

Ni lengo na mafanikio makubwa kwa serikali indapo wanachi wa tanzania milioni 60 watakuwa wakicgangia moja kwa moja juu ya maendeleo ya nchi yao.

Mijadala ya miundombinu ya maji
Screenshot_20240627-130333_1.jpg

Chanzo Jamii forum

Kupitia jamii forum wataalam na Wananch wa kawaida wamekuwa wakitoa michango madhubuti na ya kueleweka juu ya changamoto za maji na ndio jukwaa pekee watanzania wengi Wana tagemea

Mijadala ya Nishati ya nchi
Screenshot_20240627-130546_1.jpg

Chanzo Jamii forum

Seriakali kupitiw jamii Forum kama chombo ambacho watanzania hutumia kiuhuru zaidi kueleza maendelea ya ukuaji wa nishati nchini itapata muafaka wa changamoto hizo kwani watanzania wenyewe ndio wahusika

Ukuaji wa Demokrasia ya nchi
Screenshot_20240627-131342_1.jpg

Chanzo Jamii forum

Jamii forum imekuwa chombo muhimu kwa watanzania wengi kuweza kufikisha mawazo yao na fikra Kwa muda muafiaka na kwa uhuru zaidi ni muda sasa serikali iliangalie Hili Kwa mapana

MKAZO
Jamii ya watanzania na wahitaji wa maendeleo imehamia mtandaoni na ili maendeleo yawepo maoni ya wahitaji wa maendeleo hayo yanahitajika ili kupata nini wao wanahitaji zaidi na kipi kisubirie
Ni muda sasa serikali ya Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania kuwafuata watanzania ili kujua mahitaji yao na njia pekee ni kutumia JAMII FORUMS

Screenshot_20240627-132625_1.jpg

Jamii forum

HII NDIO TANZANIA TUNAYOITAKA 2025
 

Attachments

  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    53.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240627-112955.png
    Screenshot_20240627-112955.png
    384.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240627-113528.png
    Screenshot_20240627-113528.png
    489 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240627-071505.png
    Screenshot_20240627-071505.png
    304.2 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240627-130436_1.jpg
    Screenshot_20240627-130436_1.jpg
    193.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240627-071431.png
    Screenshot_20240627-071431.png
    197.3 KB · Views: 3
Upvote 0
Back
Top Bottom