Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Nikiwa nataka kujua kuhusu nchi huwa natembelea page zenu IG na X. Hamna upande mko upande wa wananchi. Kipindi ambacho habari za kijamii zimekuwa zikikwepwa na vituo vingi nyie mmekuwa mkituhabarisha na kutafuta suluhu.
Shida za maji, barabara mbovu, umeme, huduma mbovu za afya, mashuleni, ofisini, milipuko ya majongwa, rushwa uraiani na ofisini yaani maeneo kibao.
Nimeandika haya kuonesha juhudi zenu tunaziona, mnatusaidia sana huku mtaani
Hongereni.