JamiiForums kisima Cha misamiati na majina(IDs) ya kipekee

JamiiForums kisima Cha misamiati na majina(IDs) ya kipekee

El uno

Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
93
Reaction score
109
Habarini Wanajukwaa.

Leo ningeomba ku-declare interest kuwa hakuna jukwaa la kidigitali ninalolikubali kama jamii forums.Sababu kuu ni matumizi ya misamiati ambayo sijawahi kuisikia mahali pengine isipokuwa humu,mfano nilikuwa nje ya jf Kwa miaka miwili ,nimerudi nimekuta misamiati mipya kama "mbususu" n.k.

Lakini pia humu Kuna watu wana utambulisho ambao unachekesha na ni ngumu ku-imagine kama mtu anaweza kufikiria kujipa jina hilo mfano barafu ya moto( how) 🤣🤣🤣🤣,au mwingine anajiita robot la matope duh!!

Mnachekesha wakuu,ukigeuka huku unakutana na ndege John haa!
 
Kisima cha misamiati kipo stendi ya dala dala na migodini.
 
Back
Top Bottom