Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Au mbao za mawe.....long time sana huyu mwamba.Habarini Wanajukwaa.Leo ningeomba ku-declare interest kuwa hakuna jukwaa la kidigitali ninalolikubali kama jamii forums.Sababu kuu ni matumizi ya misamiati ambayo sijawahi kuisikia mahali pengine isipokuwa humu,mfano nilikuwa nje ya jf Kwa miaka miwili ,nimerudi nimekuta misamiati mipya kama "mbususu" n.k .Lakini pia humu Kuna watu wana utambulisho ambao unachekesha na ni ngumu ku-imagine kama mtu anaweza kufikiria kujipa jina hilo mfano barafu ya moto( how) π€£π€£π€£π€£,au mwingine anajiita robot la matope duh!! ,Mnachekesha wakuu,ukigeuka huku unakutana na ndege John haa!
Mkuu Sijamuona Aisee Naye Yupo Humu Jf.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ujamuona Kichwa kichafu
kunguni wa ulayaHabarini Wanajukwaa.
Leo ningeomba ku-declare interest kuwa hakuna jukwaa la kidigitali ninalolikubali kama jamii forums.Sababu kuu ni matumizi ya misamiati ambayo sijawahi kuisikia mahali pengine isipokuwa humu,mfano nilikuwa nje ya jf Kwa miaka miwili ,nimerudi nimekuta misamiati mipya kama "mbususu" n.k.
Lakini pia humu Kuna watu wana utambulisho ambao unachekesha na ni ngumu ku-imagine kama mtu anaweza kufikiria kujipa jina hilo mfano barafu ya moto( how) π€£π€£π€£π€£,au mwingine anajiita robot la matope duh!!
Mnachekesha wakuu,ukigeuka huku unakutana na ndege John haa!