JamiiForums kufungiwa mimi nimehusika, tuheshimiane

Another innocent neck carrying a rotten pumpkin 🀒 head
 
Ukiona comment yangu jua haijafungiwa
Binafsi, nipo gizani.
Naomba kuelimishwa.
- Tumeambiwa hii JF imefungiwa siku 90. Nilitegemea, haitakuwepo, au hakuna kitu kipya ambacho ingewezekana kukiongeza. Yaani, nisingeweza kuandika, kama ninavyoandika kama hivi.
Ningependa kujua, huko kufungwa, mimi ninachokikosa ni nini? Kwa hivi tunavyoandika na kusoma, hiyo adhabu, haijaanza kutekelezwa? Naomba kufahamishwa kwa anayejua.
 
Kuna wakati ilipotezwa hata kwenye VPN
 
Imefungiwa kama hivi
 
Your browser is not able to display this video.
Ndo hv Mimi nimesoma alichoandika mleta uzi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…