Mahakama ipi? Ya Huyu nani vile hata jina silijuiJamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma
2. Jamii forums imeajiri vijana wengi wa Kitanzania
Kuifungia jamii forums inasababisha wasipate matangazo, na hivyo Melo ataamua kufanya redundant, hawa vijana wataenda wapi
3. Jamii forums ni ubunifu wa Mtanzania mwenzetu
Serikali inashoboka na meta unaacha kitu chetu wenyewe
4. TCRA kusafishwe wametoka kwenye ueledi Sasa wanafanya mambo Kwa kukomoana tu.
5. Kosa la kuifungia jamii forums lilikuwa la kionevu, picha za faragha zilivuja Ikulu na hazikuwa hapa jamii forums pekee.
6 TCRA itoke itoe taarifa ya kwanini wanaendelea kuifungia jamii forums kama walivyo toa taarifa ya kuifungia tarehe 9 September, ukimya wao unatupa wasiwasi.
AiseeJamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025
Hadi Leo hii Taasisi unahujumu jamii forums Kwa kiburi tu bila sababu ya msingi.
1. Jamii forums ni walipa Kodi wa serikali, kwanini wazuie huduma kibabe, bila taarifa Kwa umma
2. Jamii forums imeajiri vijana wengi wa Kitanzania
Kuifungia jamii forums inasababisha wasipate matangazo, na hivyo Melo ataamua kufanya redundant, hawa vijana wataenda wapi
3. Jamii forums ni ubunifu wa Mtanzania mwenzetu
Serikali inashoboka na meta unaacha kitu chetu wenyewe
4. TCRA kusafishwe wametoka kwenye ueledi Sasa wanafanya mambo Kwa kukomoana tu.
5. Kosa la kuifungia jamii forums lilikuwa la kionevu, picha za faragha zilivuja Ikulu na hazikuwa hapa jamii forums pekee.
6 TCRA itoke itoe taarifa ya kwanini wanaendelea kuifungia jamii forums kama walivyo toa taarifa ya kuifungia tarehe 9 September, ukimya wao unatupa wasiwasi.
Labda kama kungekuwa na uwezekano wa kufungua kesi nchi jirani, siyo kwa mahakama-ccm za TanzaniaJamii forums kwanini hamuwashitaki TCRA mahakamani?
Alafu kina Pascal Mayalla wanakuja na stori za YALIYOPITA SI NDWELE!!Mahakama ipi? Huelewi jambo ambalo serikali haitaki mahakama haiwezi kufanya chochote? Nyie watu huwa ni wagumu kuelewa au basi mnajitoa akili?
Jinga hilo linatafuta teuzi, takatakaAlafu kina Pascal Mayalla wanakuja na stori za YALIYOPITA SI NDWELE!!
Mahakama zetu Zina shidaMna hizo mahakama? Nini kilitokea kwa kanisa la Gwajima pamoja na kwenda mahakamani?
Hata ule uporaji kanisani kwao hawajajisumbua kwenda kortini!!
Tuko kwenye Lawless country kwa sasa,nchi ipo kwenye flight mode!!
ExactlyMahakama zetu Zina shida
Auto pilot modeMna hizo mahakama? Nini kilitokea kwa kanisa la Gwajima pamoja na kwenda mahakamani?
Hata ule uporaji kanisani kwao hawajajisumbua kwenda kortini!!
Tuko kwenye Lawless country kwa sasa,nchi ipo kwenye flight mode!!
Kuwashitaki kwenye mahakama hizi hizi za Masaju? Tofauti kati ya kushitaki na kutoshitaki itakuwa nini?Jamii Forums ilifungiwa siku 90 ambayo adhabu hiyo imeisha tarehe 6 December, 2025