JamiiForums kwanini hamuwashitaki TCRA mahakamani?

Wanapromote Facebook wanakandamiza mtandao wa ndani pathetic
 
Kwa mahakama ipi? Hehehehe (in Chaaba voice)🤣
Frankly speaking,kufungiwa kwa Jamii Forums ,ni jambo lilifanya niichukie serikali ya CCM , eti sababu ni picha za yule mhuni wa Zimbambwe akiwa Ikuru
 
Wanamambo ya kichoko sana, utafiki Maxece aliwapigia demu wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…