JamiiForums kwanini hamuwashitaki TCRA mahakamani?

Okay sasa nimekupata
Basi msilaumu vijana wakimasikini wa tanganyika kwa maamuzi yao sawa?
si response mmeipata? huna ela unataka kushindana .. basi mtaendelea kupata mnachotaka kukipata
 
nimeamin hata saa mbovu kuna wakat inasema ukweli
kwan ni uongo? hujawahi jiuliza kwann kwenye familia yako kwenye vikao wanakutenga ama wanakupa kazi ya kuokota chupa? kwa sababu wanajua we ni mjinga na hamna unachoweza kuchangia kwenye jamii

Hivo hivo biblia inakataza umaskini na kuwekwa kwenye kundi la dhambi, kwa mfano ukiwa na kitu kidogo unastahili kunyanganywa na ukiwa na kingi unatakiwa kuongezewa
 
Akili za chawa
 
si bora kazi ya kuokota chupa ndani ya familia ...kuliko wewe ambaye huna tofaut na condom ukishatumika tu unavuliwa na kutupwa chooni hivyo ndivyo ccm inawafanya watu machawa na malofa kama wewe.
 
Ni kupoteza muda

JF inapatikana ukijituma

Acha iwe hivi tupumzike na mambo ya simba na yanga sijui wasanii blabla

Tupo pazuri Mkuu
 
Wawashtaki tu tuone kama watatupilia mbali mashtaka yao au laa ingawaje ni ngumu kusikilizwa hiyo kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…