JamiiForums Legends of ALL Time

Sio mimi ni lusungo mie nilimuandika kama legendary tu mkuu.
ha ha ha ha nimekuelewa, sema kuwa na rafiki wa kweli kwelii humu yataka moyo...maajabu mimi na yeye wote tumesahau password ha ha ha...kuna jamaa wakidai washamtongoza sana...nilikuwa na mute tu ha ha ha
 
Haha mimi wa mwaka juzi tu 2014 nashangaa wenzangu wanaitwa malegendary hadi mdogo wangu STUNTER.

nilikusahau legendary espy kui huyu naskia kaolewa uarabuni ndiyo maana kapotea.
Uko huku siku mingi kabisa...uzoefu wako ni mkubwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…