huyu jamaa alikuja kumuoa miss chagga?
Huyu Demba alikuwa mke wa erick b52Amu
Demba
Huyu kabla ya hapo alijiita Russian Roulette...Roulette
Wee!! Koma..mimi simjui TedoHata wewe ni mhenga naikumbukaga ile ID ya Tedo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wee!! Koma..mimi simjui Tedo
Mzee wa ku log off na mdogowe Farkhina
Hivi washawasha ndio mzee wa "Na log off"
Daaah...huyu jamaa alikuwa anafurahisha sana..
Hapa unatakiwa umuweke Mag3Nguruvi3