Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
My fellow tablet klorokwini popote ulipo unatafutwa hukuKuna watu naona hawamjui kabisa Kloroquin ...enzi hizo na Mwali ..JF ilikuwa rahaa mno....kulikuwa na thread unacheka mwanzo mwisho
those were the days ..
Yoyo alikua na avatar ya sisimizi anatembea juu ya kioo,namkumbuka sanaKuna huyu jamaa alikuwa mkorofi hatari
Yo Yo
Avatar yake ya kile ki-skeletonFidel 08