Aaaaah!! Nshomile wa kichaga nakuona nakuona.Hao ni malegendary...nikiri kuvutiwa na Heaven on Earth...nikiri kujuana nae kwa namna moja, ambayo sio ya moja kwa moja
Anko nipo wewe ndo umeadimikaa au umetekwaa ??Nimekubamba bwana acha zako..
Ulipotelea wapii
Dah Mkuu kumbe na mimi ni legendary humu ndani....!!!
Anatumia ya kiume sasa hivi ni @behavioristHeaven Sent anatumia ID gani kwasasa?
Bitoz, Transcend, makaveli kidogo nikaona nami ngoja nitoke tu nitarudi mkirudi..Anko nipo wewe ndo umeadimikaa au umetekwaa ??
Kama kawaida yetuNaona wahenga mmekutana,
Hahahaha kule mbona kijiwe kinaendelea kama kawaida sema wiki mbili nilikuwa bize ila wengine walikuwepo tangia juzi kijiwe kimepamba motoAah mm niliona watu mnasepa kimya kimya
Bitoz, Transcend, makaveli kidogo nikaona nami ngoja nitoke tu nitarudi mkirudi..