Duuuu nyani ngabu namkubali sana [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Hahahaha, acha kabisa kaka, ule uzi bado upo hewani ujue! Namshukuru Mola, bado unaendelea kuwa ni kivutio kwa wasomaji wengi wa JF.
Mimi nipo all over the place, Alhamdulillah mambo sio mabaya sana. Napambana na hali yangu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo pamoja kaka.
Karibu sana mkuu.Nakukubali sana mkuu
Nategemea Mungu akuweke uje kuwa mentor wangu siku za usoni.
Ukongwe unaanza 2010 onwardsOouh haya nitafanya hivyo.. ukongwe nikuanzia mwaka gani. Kwangu naona ni chini ya 2010.[emoji1] [emoji1]
Usichukie maana haupo.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Haha..Fundi Utumbo amekuwa legend? JF imekwisha!
Amandla..............
Fundi Utumbo amekuwa legend? JF imekwisha!
Amandla..............
Heeeey Fundi......upo rafiki?