ok nipe nr yako pm nimerudi bongo nimebadili namba na simu hivyo namba nyingi tuu nimepoteza dearHebu unicheki wtsp tubonge issue moja aise we mutu
Hahahaaa hii ID nayo ilipoteaaaaNikiitikia kwa niaba yake kuna tatizo?
Mwenyewe yuko bafuni anaoga. ...
Ha ha ha ha ha....Nikiitikia kwa niaba yake kuna tatizo?
Mwenyewe yuko bafuni anaoga. ...
Na Mndengereko