Nenda jukwaa LA malalamiko tumeyajenga weee lakini ndo hivyo tena yani ni weekly ban after one dayπ π π π π π π
Mkuu, utakuwa na mgogoro binafsi na mods nini. Mbona mimi sioni kama unaweza kuwa mhalifu kiasi cha kustahili ban kila wakati?
Ila pole mzee baba, welcome back.nenda jukwaa LA malalamiko tumeyajenga weee lakini ndo hivyo tena yani ni weekly ban after one day
shukrani mkuuIla pole mzee baba, welcome back.
Ila pole mzee baba, welcome back.
Hiyo pia ni nzuri ila ikiitumia vibaya mods huwa wanaziunganisha, hapo ndo inakuwa tabu zaidi.Mkumbushe umuhimu wa kuwa na ID ya akiba.[emoji1493][emoji1493][emoji1493]