Jamiiforums member's party

Hata mm pacha umenitenga duuuuuuuuuuuuuu
 
humu kuna watu kweli mtu unaweza jisikia amani kwenda kukutana nao, na ni wachache. Wengi kwa kuangalia post zao tu zinakatisha tamaa, yani inaonesha unaenda kukutana na watu wa aina fulani/ wa ajabu ajabu tu wasiojielewa.
Ila sio mbaya maana hata huu utoto wanaopost kuna wengine wanaupenda, so wakikutana wao kwa wao wataenjoy.
Kila la kheri katika kufanikisha party hii, msiache kuleta mrejesho labda nami nitahamasika kuhudhuria party ijayo.
 

I wish ningekuwa na access ya kufuta comment negative kama hizi!
Jf angalieni hili yani iwe kama mitandao mingine ya kijamii mwenye mada awe na access ya kufuta baadhi ya shit kama hizi zinakatisha tamaaaa
 
I wish ningekuwa na access ya kufuta comment negative kama hizi!
Jf angalieni hili yani iwe kama mitandao mingine ya kijamii mwenye mada awe na access ya kufuta baadhi ya shit kama hizi zinakatisha tamaaaa
This is chit-chat my dear
 
Kwa tulipofikia Tz ya sasa, hata mngenitumia Bombardier siji.
 
Tujumuike jamani great thinkers tusiishie tu kupost ideas pia hata handshakes zitasolidify undugu wetu ila magrupu yasiwepo.
 
Kukiwa na ratio ya W:M = 10:5 Mtanijuza na mie nisogee eneo la tukio.
 
Hahaaa. Jamaani lol. [emoji85]

Naja Pacha tuzungumze vizuri. [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nishagundua hunipendi itakuwa tulitoka mifuko tofauti tofauti si kwa kunisahau huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…