Kabisa mana wengine tusije na Kanzu zetu huko kumbe kuna kuruka majoka [emoji23]Eeeh ili tujipange waseme tusije kuvuruga party
Atakuwepo yule jamaa wa TCRA kwajiri yenu[emoji23][emoji23] Jiwe na mimi mtu wa JLW wapi na wapi mkuu?
Hapo kwenye JLW unamaanisha(Jiwe La Waashi) au nini mkuu?[emoji23][emoji23] Jiwe na mimi mtu wa JLW wapi na wapi mkuu?
Ataenda sambamba na mimi au Mwifwa?Hahahaaa. Nimemuona tu nina imani mtakwenda sambamba. [emoji12]
Uuwiiii. Naanzaje kuvaa kipensi Hajar mie.[emoji23] [emoji23] nitamwambia Davent akushawi uvae na wewe kipensi
Na bahati nzur jf hatuna watoto wa mbwa so hata ukisinzia kesho unajikuta freshiiii but paty nyingine hahaaa haaaHahah!! Kweli utasinzia kwenye party wewe unipe kazi ya kukurudisha nyumbani
Hahah!! Basi party iwe kwa siri sana..Atakuwepo yule jamaa wa TCRA kwajiri yenu
Hahah!! Jukwaa la wanamme mkuuHapo kwenye JLW unamaanisha(Jiwe La Waashi) au nini mkuu?
Wewe ni wasiojulikanaWapendwa wana jf MMU, GTs, PF,
Chit chat na majukwaa yote ya Jf like JLW mnaonage tukaorganize kitu ili ikiwezekana one day tujumuike sehemu fulani na kusherekea pamoja ikiwa ni ishara ya kusupport jitihada kubwa zinazofanya na Jamiiforums under the umbrela of Maxence Melo kwani kubuni kitu alafu kikawahamasisha watu na pesa zao, elimu zao, majina yao na dhiki zao sio kitu cha mchezo.
Ombi langu kama mdau na mkereketwa wa Jf niombe uongozi wa Jf ufikirie hili swala and we are ready to discuss everything about all this!
I will be happy to party together with Nokia83 Mshanajr miss chagga miss confidence @MissNatafuta, Shunie Daby Mama Sabrina brina NAHUJA Shana Chuma Norshad Hajar Davet Mwifwa ukhuty Demiss Joseverest to mention few.
Natumai wependwa member wenzangu mtaniunga mkono mawazo yangu.
Mwaaa I love you all!
NB
Hatutatambulishana coz wengi tunatumia ID fake ili wenye nia mbaya na Majukwaa yetu wakwame na kwakuwa tupo kisheria tutakuwa huru kama siku zote.
Kwahiyiyo shost ww ndiye real upo ktk avatary as real ustadhati.Uuwiiii. Huwezi amini mie hata suruali sina sasa hicho kipensi nakianzaje kukivaa Hajar mie.
Tuwakilisheni nyie banaaa. Sie mtakuja kuturingishia tu cha yaliyojiri. Hahaaa.
Hahah asante kwa ufafanuzi,la sivyo hio party ungeiona chungu hahahHahah!! Jukwaa la wanamme mkuu
Ngoja kwanza tuone venue itakuwa wapi na ni siku ipi?Uuwiiii. Huwezi amini mie hata suruali sina sasa hicho kipensi nakianzaje kukivaa Hajar mie.
Tuwakilisheni nyie banaaa. Sie mtakuja kuturingishia tu cha yaliyojiri. Hahaaa.
Hahahaaa. Lol.Kwahiyiyo shost ww ndiye real upo ktk avatary as real ustadhati.
Hahah!! Acha tuNa bahati nzur jf hatuna watoto wa mbwa so hata ukisinzia kesho unajikuta freshiiii but paty nyingine hahaaa haaa
Kama ndio na mie naweka yakwanguuuuuHahahaaa. Lol.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Amna mzee maana ukizubaa tu unaangukia mikononi mwa jiwe[/QUOT
Ukidakwa na jiwe umeisha apò mzee
Hahah!! Poa mkuuHahah asante kwa ufafanuzi,la sivyo hio party ungeiona chungu hahah
Hahah poa poa mkuu.Hahah!! Poa mkuu