JamiiForums ni kiboko, imenipa kazi mwenzenu

Vizuri kijana anza kutamba baadae utatembea
ingia kwenye life la kujitegemea
 
huo mshahara ni pasua kichwa kabisa. Ila kama huna mbadala kwa sasa bora ukajishikize
 
Ndio kwanza umegraduate how much do u want? Sikiliza ikiwezekana ktk huu mshahara wako fungua akaunti aina ya saving ambayo utajiwekea akiba angalau 50,000/= kila mwezi...then mambo yako mengine yote yaishie kwenye 330,000/=, hiyo 50,000/= unayo save itakuja kukutoa baadae...Pia endelea kuua winga hapohapo ulipo kwa sasa( unatakiwa uwe a little bit selfish kwa muda flani hivi) japo kwa miezi 6mpaka 1year then utakua upo kwenye position ya kuhama.

Uingiapo kazini hakikisha unapiga mzigo kiuhakika ujue kazi zote kwa muda mfupi, then utakuwa unajiamini na kazi yako na unagood command ya kutafuta kazi koz utakua tayari una uzoefu na unaweza ku demand competetive salary on the contrary, do u have any other option? ingelikua ndio mimi i have just graduated sina uzoefu, hata bila salary nafanya kazi let alone hizo 380,000/=

Kuna watu wanakaa mpaka miaka 4 na zaid bila kupata kazi mpaka wanaamua kujiajiri so u have all the way ahead of u...No matter how good the employer can be, the future lies within urself only(Job Holder)... take care.
 
Mi nadhan huo ndo mwanzo, nenda ukafanye kazi ukiangalia vacancies zingne.
 
Nimeipenda hii thread coz nimejifunza mambo mengi hasa kutoka kwa NasDaz. asanteni.
 
Dogo salary gelesha tu but kwa bongo asilimia karibia tisini hawaishi kwa kutegemea salary! Ingia kwene job then utaamini maneno yangu, kuna overtime, kuna safari, kuna sijui bonus, kuna nauli, kuna communication and health cost na sometimes kuna house allowance! Umenisoma vizuri dogo? Sio kwamba vyote vitakuepo ila baadhi yake au hata deal zipo LAKINI pia ni rahisi kupata kazi ukiwa na kazi!!!!!!!
 
mnanitisha aisee....sie wenye mawazo ya kujenga tutajenga kweli????
 
TZS 380,000/1600= 237.5 USD. Usd 237.5/30days = 7.916 per day. Kipato cha mtanzania wa kawaida (japo neno hili silipendi sana) ni chini ya dola moja kwa siku.

Kijana, usichezee kazi chezea mshahara! chukua kazi hizoooo!!
 
wewe bana sasa hiyo ndo unasema kazi yaani difference ya 20,000/= heee kazi kweli kweli jamani ,,,haya hongera kwa kupata kazi kali kupitia jf
 
hii ndo JF bana,yan ni kila ki2,.mi nawashukuru wote na nmeenda leo ofic moja nkaanza kazi,kweli salary ni 400000 hyo haikatwi chochote ila inaongezwa na 37000 kama communication expenses na transport. Jaman mi nataka kujua how ntaweza kuichangia JF coz mi kwangu ndo kila ki2 yan nikiumwa-najiuliza hapa,nikikwazwa na mpnz,.hapa ndo solution,kaz nmepata hapahapa. Nawashukuru sana tena sana.
 
ebwana weee jembe... Ngoja nifanyie kazi, ntaifanya my blue print kwenye matumizi yangu ya mwezi... Santaa..
 
Unaweza kumPM invisible au maxence atakupa maelekezo. Kila la heri.
 
Nimemshangaa huyu jamaa! Anataka kulipwa 380, anaremba?! Mimi nalipawa 230, na maisha yanakwenda kama kawaida japo kwa kujibana.
 
Ila na wewe ni mchoyo mbona hututajii ni makampun gani wkt wewe ulisaidiwa
 
Wengi humu akili hazipo we unajpangia mshahara office ya babako ***** mkubwa weee acha kazi ujute
 
Chukua kazi mwana kazi ni bahati ya mtu kuna magraduate wa 2010 hapa hakuna kitu ukiwa ndani ya kaz ndo utapata michongo mingine mpendwa.
 
hongera kwa kupata kazi sasa kishumbua mahoko inatakiwa utoe 2% ya gross yako uichangie JF ni hayo tu..

Hili nalo neno,ili jf iendelee kukua na waboreshe huduma,yatupasa kufanya hvyo,na mm nikipata kaz unikumbushe ndetichia
 
Hi, congratulations,

Please free yourself from dependence ideology, take that job and keep looking for a better one. If I'm to tell you, Immediately after coming out of school, I started with a non proffesional job getting 90,000 a month some 9 Years ago, I moved on in three months to a job that was giving me 260,000 a month, after like 4 months moved on again to another job earning 350,000, the movements continued including getting out of Tanzania to other African countries, and on to Asian countries, just like that... and now I can secure a job worth not less than 6,000,000 a month any time I need it. But what is a foundation of all this, ... , it is a decision to take the first job i.e. the one giving 90,000 (note: all figures in Tsh)

Stop crying, reduce the burden to your host, take the job before the job takes you!!
 
ebwana weee jembe... Ngoja nifanyie kazi, ntaifanya my blue print kwenye matumizi yangu ya mwezi... Santaa..

Hebu jaribu mkuu, utagundua kumbe maisha ni very simple....hapa nasikitika sana kwamba hakuna usafiri wa daladala wa kulipia in advance, otherwise, ingekuwa tayari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…