Kahhh jaman
Taja umri na jinsia kwanza.
Jaman wana mmu mie nmgeni humu sio mbaya hata mki ni pm sio mbaya na mm nijue maana ya pm.....pia nmekua nikivutiwa na post nyingi na jinsi mnavokoment
Bebi huko uliko umepata mzigo Wangu?
Bebi huko uliko umepata mzigo Wangu?
Tobaaa !!! miye MTU mzima siyo beby. UPI huo
Aaaaaah kumbe una michepuko eeeh!Ngoja nikusemehe ili nibakie mie mmiliki mwenyewe......lol
hahahahaha hii amri
back to project,all is about papersKuku kaingia mwenyewe bandani!
Haha huyu kanipakazia tu jamani tutabanana hapohapo