Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
Mabibi na mabwana wa jamiiforums hodi! Baada ya kukaa nje na kufurahia ladha ya JF kama guest, leo nami nimeona ni vyema nijitose kuogelea humu ndani.
Nimependezwa na kila kitu kinachotendeka humu jukwaani, hoja nzito, mada zenye ladha ya kila namna, pamoja na wachangiaji mahiri.
Basi itoshe kusema kwamba nimependezwa na JF ndio sababu ya kujiunga. JamiiForums nimekuja mnipokee mja wenu.