Chuda Kashara
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 849
- 555
Asante Mkuu...amani sana mkuu wangu.Karibu sana mkuu
Asante sana Mkuu...pamoja sana.Karibu Mkuu...jisikie amani tele.
Na iwe kama ulivyonena mkuu, Shukrani ndugu.Karibu sana, busara na hekima vikutawale
Asanate sana mkuu kwa ukaribisho, ila sijakuelewa kuhusu kuchagua jukwaa na mrengo.Karibu sana bila shaka umeshachagua jukwaa na mrengo!
Asante sana Mkuu...naamini itadumu kwenye vitabu vya kumbukumbu...ngoja niandike kwenye diary kwanza.Karibu sana,usisahau like ya kwanza nimekupa mimi
Kuna manguli wa majukwaa flani flani inawezekana ndio waliokuvutia kujiunga...na pia kuna kambi mbili muhimu katika Jukwaa lasiasa(jukwaa mama) ...hizi kambi huwa hazitangamani kabisa ingawa hawarushiani ngumi...Asanate sana mkuu kwa ukaribisho, ila sijakuelewa kuhusu kuchagua jukwaa na mrengo.
Hahahaa...ila sasa hivi ni usiku mkuu, nitaamkiaje?...Anyaway nawashukuru wana jf wote mnaonikaribisha.Amkia kwanza
mimi nimempa ya piliKaribu sana,usisahau like ya kwanza nimekupa mimi
Ndiyo Mkuu, nina uzoefu wa kusikia maneno kama UKUTA, SIJARIBIWI, VYAMA VYA UPINZANI(VVU)....makapuku, atheist kule intel. na mambo kibao mkuu wangu japo siyo sana.Kuna manguli wa majukwaa flani flani inawezekana ndio waliokuvutia kujiunga...na pia kuna kambi mbili muhimu katika Jukwaa lasiasa(jukwaa mama) ...hizi kambi huwa hazitangamani kabisa ingawa hawarushiani ngumi...
lakini pia kuna kambi za kidini....
Naamini umenielewa kama kweli wewe ulikuwa guest mzoefu
Karibu sana mkuuNdiyo Mkuu, nina uzoefu wa kusikia maneno kama UKUTA, SIJARIBIWI, VYAMA VYA UPINZANI(VVU)....makapuku, atheist kule intel. na mambo kibao mkuu wangu japo siyo sana.
Alo! bila shaka hizi ni ngekewa siyo ratiba...nawashukuru kwa kunikaribisha jama.mimi nimempa ya pili
Nimekaribia Mkuu, subiri nizoee mazingira kabla ya mitifuano ya huko majukwaani.Karibu sana mkuu